Digital Impact Alliance
Katalogi yaMasuluhisho ya Kidijitali

Nyenzo shirikishi ya mtandaoni ya kuwasaidia Wahusika wa Maendeleo Ulimwenguni kutekeleza mikakati ya kidijitali.

Banner of the catalog of digital solutions.

Wafadhili wanaweza kutumia zana hii kuratibu uwekezaji na wafadhili wengine. Kwa kutumia lenzi ya lengo la SDG, mfadhili anaweza kushughulikia lengo la SDG linalopewa kipaumbele ili aone hali ambapo yanaweza kutumiwa, mtiririko wa kazi na vipengele vya msingi vya TEHAMA vinavyounga mkono kuendelea kwa lengo hilo.

Kuelewa jinsi ambavyo mambo haya yanahusiana huwawezesha wafadhili kuona jukumu lao na wafadhili wengine wanaounga mkono malengo mengine ya SDG. Zana hii inaonyesha kwamba mtiririko wa kazi chache na vipengele vya msingi vinaweza kutoa malengo mengi ya SDG na hali zinazolingana ambapo yanaweza kutumiwa.

Chunguza SDG
Hujui pa kuanzia?

Tumia Sogora ya Mahitaji na Mapendekezo ili ikuongoze kwenye orodha iliyoratibiwa yenye nyenzo, iliyobadilishwa kulingana na popote ulipo katika mzunguko wa maisha ya mradi - kutunga mawazo, kupanga, au utekelezaji.

Katalogi ya Masuluhisho ya Kidijitali
Badili Muonekano
Nembo ya: Card View Active.Nembo ya: List View Inactive.
Inaleta data...